Taifa Stars yawasili Misri (Picha)
Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania – Taifa Stars imewasili salama 
Tolip Sport City, Alexandria nchini Misri tayari kabisa kuanza kambi ya 
wiki moja kujiandaa kucheza na Lesotho katika mchezo wa Kundi L kuwania 
kucheza fainali za AFCON.




No comments