PICHA :MKUU WA WILAYA YA TARIME LUOGA ATEMBELEA WANANCHI WALIKUMBWA NA MAAFA MVUA ZILIZOAMBATANA NA UPEPO ZAEZUA NYUMBA TAKRIBANI 52
Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorious Luoga aliyevaa suti nyeusi akionesha moja jengo ambalo limeezuliwa na upepo mkali. |
Nyumba zilizoezuliwa na upepo kijiji cha Murito |
Mmoja wa wananchi akieleza juu ya maafa hayo. |
Mkuu wa wilaya akieleza jinsi ya kujenga nyumba bora. |
Mti ulivyodondoka na upepo mkali |
Nyumba ambayo imebomolewa |
Bibi ambaye amekumbwa na changamoto hiyo. |
Diwani wa kata ya Kemambo Rashid Bugomba akisalimia bibi ambaye amekumbwa na janga la kubomoka kwa nyumba yake. |
Nyumba zilizobomoka |
Mkuu wa wilaya ya Tarime Luoga akionesha jinsi wanavyojenga vibaya Nyumba hizo amesema kuwa kuna haja kubwa ya kujenga nyumba imara |
Mkuu wa wilaya ya Tarime Luoga akionesha jinsi wanavyojenga vibaya Nyumba hizo amesema kuwa kuna haja kubwa ya kujenga nyumba imara |
Diwani wa kata ya Kemambo Rshid Bugomba akiongea na Mwandishi wetu baada ya kutembelea eneo la wahanga. |
Mkuu wa wilaya ya Tarime Glorius Luoga akiongea na Mwandishi wetu baada ya kutembelea eneo lililokumbwa na maafa . |
No comments