Breaking News

BASI LA BATCO LATEKETEA KWA MOTO HUKO MARA



Basi la BATCO lenye namba za usajili T192DHW likiteketea kwa moto hii leo katika eneo la Kirumi kata ya Bukabwa Wilayani Butama Mkoani Mara gari hilo lilikuwa linafanya safari yake kutoka Tarime-Sirari Mwanza chanzo cha Moto huo bado hakijafaamika na inasemekana baadhi ya mali za abiria zimeweza kuteketea kwa moto na hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa na moto katika tukio hilo 

                           HABARI KAMILI TUTAENDELEA KUKUFAAMISHA







                                                  PICHA NA Manpoltz

No comments