Tangu Nape kutenguliwa uwaziri, hizi picha alizoweka mtandaoni zinakupa tafsiri gani?
March 23 mwaka huu, Rais Dkt. John Pombe Magufuli alifanya mabadiliko madogo katika Baraza lake la Mawaziri ambapo alimteua Dk. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ambaye alichukua nafasi ya Nape Nnauye.
Sasa basi, tangu kufanyika kwa mabadiliko hayo, Nape amekuwa akichukua headlines kwenye mitandao kutokana tweet/post zake pamoja na picha.
Hapa chini tumekuwekea picha 10 alizoweka kwenye mitandao toka alipoondolewa kwenye uwaziri, je zinakupa tafsiri gani?.
No comments