2. Kuna mwanamke pale ofisini, jirani yenu au mtaani tu anamtaka na
anashindwa kumuambia au ameshamuambia na mumeo hana habari naye, lakini
yule dada haishi kutuma sms hata za salamu tu, namaneno kama “missing u,
uko poa D, lunch leo juu yangu, upo dear, Mbona leo hujaniaga…” Ukiona
utashtuka na hutamuelewa hasa kama unamfahamu huyo mwanamke.
No comments