Breaking News

New Video:Harmorapa Ft Cpwaa & Ronei - NUNDU ( Official Music Video )



Rapa Harmorapa baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Kiboko ya Mabishoo’, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Nundu’akiwa amemshirikisha Cpwaa na Ronei. Audio ya wimbo imetayarishwa na Luffa. Video imeongozwa na Kwetu Studio.

No comments