Picha: Matukio tofauti baraza la madiwani la kuwasilisha taarifa za kata robo ya Nne 2017 Halmashauri ya wilaya ya Tarime Mkoani Mara.
Diwani kata ya Muriba akiwasilisha taarifa |
Madiwani wakifuatilia kinachoendelea katika kikao hicho. |
Madiwani wakifuatilia kinachoendelea katika kikao hicho. |
Katikatu ni Makamu Mwenyenyiki wa Halmshauri ya wilaya ya Tarime Bathromeo Machage kushoto ni diwani wa kata ya Susuni. |
Diwani wa kata ya Nyanungu Mang'enyi akiwasilisjha Taarifa ya kata yake. |
Diwani kata ya Ganyange Nashon Marwa akiwasilisha taarifa ya kata yake ambapo amesema kuwa kwa sasa kata yake inaendelea vyema katika suala zima la ulinzi na usalama. |
Mama Mery Nyagabonaa diwani viti maalumu CHADEMA akiwasilisha taarifa katika balaza la madiwani. |
Diwani kata ya Binagi Marwa Chacha akiwasilisha taarifa ya kata yake. |
Diwani kata ya Komaswa akiwasilisha taarifaChanzo: Frankius Cleophace. |
No comments