New Music: Videstus Mpemba - Nirudishie Furaha
Ni nyimbo mpya ya msanii wa muziki wa injili kutoka Tanzania anaitwa Vedastus Mpemba na nyimbo inaitwa Nirudishie Furaha ikiwa imetayarishwa na producer mahili kabisa ajulikanae kwa jina la Laizer Classic kutoka Wasafi Record.
No comments