Breaking News

Ben Pol amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu picha zake za uchi mitandaoni

 Ben Pol amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu picha zake za uchi mitandaoni

Ben Pol ambaye aliachia picha kadhaa akionekana uchi amefunguka kwa Mara ya kwanza kuelezea kilichomkuta ili kufanya jambo kama hili.

Kupitia kwa mtandao wake wa Instagram Ben Pol aliweza kuweka video mpya ambayo aliambatanisha na wimbo wake mpya utakao achiliwa hivi karibuni na kuandika, “Usi-judge kitabu kama hujakisoma ndani .”
 

 
Japo hajakuwa akiwajibu mashabiki wake, inaonekana kuwa Ben Pol ameamua kuchukua mpya ambayo kwa hivi sasa inampa kiki ya kutosha.

No comments