Breaking News

Huyu ndie msanii Mpya kutoka kundi la Wcb




 

Huyu ndie msanii mpya wa Diamond kutoka WCB anaitwa Lava Lava kwa wengine anaweza akawa ni mgeni machoni mwao lakini Lava Lava amewahi kutamba na vibao mbali mbali kama vile natafuta aliomshirikisha Young D, Wao aliomshirikisha Linex na nyingine nyingi sasa Ni zamu ya Bora tuachaneImage result for lava lava ft young dee
 Image result for lava lava ft linex

Download Via Wasafi.com



No comments