Breaking News

Harmorapa: Nawaletea Bomu litakalo sambalatisha ngoma za wasanii wote Africa

 Image result for harmorapa
Kupitia account yake ya Instagram, Rapa Harmorapa ametangaza hali ya hatari kwa wasanii kuwa anakuja na ngoma kali ambayo anaamini itafunika ngoma zote za wasanii wa Africa.

Harmorapa ameandika "Mashabiki wangu nawaletea Bomu litakalo sambalatisha ngoma za wasanii wote Africa naposema Bomu simaanishi kabomu ka mkono ka mh #trump hapana namaanisha Bomu LA nyuklia la kiduku linalo milikiwa na kolea kusin so nawakanya na wasanii wote Africa walioficha vinyimbo vyao ndani wavitoe haraka sasa hivi kabla Mimi sijaachia Bomu langu kwani nikiachia hamto sikika😎😈😈😈😈😈 #Nunduloading."

No comments