New Music: Shilole ft Iyo - Hatutoi Kiki (Remix)
Ni collabo yake ya kwanza Afrika anaitwa shilole a.k.a Shishi baby akiwa ameshirikisha mkali kutoka naija Iyo ambae amewahi kufanya vizuri na ngoma yake aliomshirikisha Diamond Platnumz Loving You sasa leo msikie tena kwenye Hatutoi kiki Producer by Mesen Selekta.
No comments