New Music: TID Ft Melk - Jibu
Baada ya sakata kubwa lilokuwa likimkabili star wa muziki wa bongofleva TID na aliahidi kuja kivingine kwa ajili ya kukabiliana na soko la sasa katika muziki kuthibitisha hilo sasa kamua ni ngoma baada ya ngoma anakualika kuisikiliza ngoma yake mpya aliyomshirikisha Melk ngoma inaitwa Jibu fanya kuisikiliza hapa.
No comments