Breaking News

Dj Fetty Kusikika tena kwenye XXL ya Clouds FM rasmi.

Hatimae mtangazaji wa zamani wa Clouds Fm Dj Fetty atangaza kurudi rasmi kwenye nafasi yake ndani ya XXL leo atasikika ikiwa ni Siku ya wanawake Duniani akiwa pamoja na mamybeibe pamoja na Dj Sinyorita
Msikilize hapa pia usisahau kusubscribe.

No comments