Mkali wa muziki wa Hip Hop aliedumu kwenye game kwa mda mrefu sanaa ambae makazi yake ni South Afrika anakukaribisha kupakua na kusikiliza ngoma yake mpya aliyomshirikisha mkongwe kunako mziki wa bongofleva Prince Dully Sykes ngoma inakwenda kwa jina la Uchu fanya kuisikiliza hapa.
No comments