Breaking News

New Music: Belle 9 - Mzuri

Kwa muda sasa amekuwa akifanya Vizuri na ngoma yake ya Give To Me aliomshirikisha mkongwe kutoka A-Town G nako na sasa anakukaribisha kuisikiliza track yake mpya hapa inayokwenda kwa jina la Mzuri fanya kuisikiliza hapa.

No comments