Picha: Alikiba ndani ya kipindi cha Up Sync Battle na vazi la Brenda Fassie
Msanii wa muziki kutoka Tanzania, Alikiba, alikuwa kwenye kipindi cha runinga cha MTVBaseAfrica UP SYNC BATTLE.
Kipindi hicho huwachukua mastaa mbalimbali wa muziki na kuwavalisha 
uhusika wa mtu mwingine ambapo katika kipindi cha wiki hii Alikiba 
alivaa kama Brenda Fassie na kuimba wimbo wake wa ‘Vulindlela’.

Alikiba ndani ya muonekano wa Brenda Fassie
Alikiba akiwa stejini
Alikiba ndani ya muonekano wa Brenda Fassie
No comments