Breaking News

New Music: Barnaba – Malaika (Angels)

Producer wa ngoma hii anaitwa Deey Classic na muimbaji ni Barnaba Classic ngoma inaitwa Malaika ni nyimbo maalumu kwa ajili ya Msiba uliolikumba taifa kwa kupotelewa na wanafunzi zaidi ya 30 wakiwa na walimu wao wawili na dereva huko Arusha usikilize hapa.

No comments