Breaking News

Rose Ndauka alamba shavu la kuwa mtangazaji wa East Africa Radio






















Kupitia mtandao wake wa Instagram, muigizaji huyo amethibitisha hilo kwa kuandika ujumbe unaosomeka, “Nafurahi kuwa mmoja wa team hii mpya ya #Eastafricaradio.Ni planetbongo mpya 2017.”

Awali Ndauka alikuwa akitangaza Times FM kabla ya mkataba wake kumalizika mwishoni mwaka jana.

No comments