MICHEZO: Ratiba ya ligi kuu ya Uingereza hii hapa.
Ligi kuu ya Uingereza ndio ligi inayoongozwa kufuatiliwa zaidi na mashabiki wa mchezo huo duniani. Na wikiendi hii kuna mechi zinazosubiriwa kwa hamu ikiwemo Liverpool dhidi ya Arsenal na Tottenham Hotspur dhidi ya Everton.
Ratiba kamili kwa wiki hii itakuwa hivi....
Jumamosi
Manchester United vs AFC Bournemouth
Leicester City vs Hull City
Stoke City vs Middlesbrough
Swansea City vs Burnley
Watford vs Southampton
West Bromwich Albion v Crystal Palace
Liverpool vs Arsenal
Jumapili
Tottenham Hotspur vs Everton
Sunderland vs Manchester City
Jumatatu
West Ham United vs Chelsea
No comments