Huyu ndie msanii Mpya kutoka kundi la Wcb

Huyu ndie msanii mpya wa Diamond kutoka WCB anaitwa Lava Lava kwa wengine anaweza akawa ni mgeni machoni mwao lakini Lava Lava amewahi kutamba na vibao mbali mbali kama vile natafuta aliomshirikisha Young D, Wao aliomshirikisha Linex na nyingine nyingi sasa Ni zamu ya Bora tuachane


Download Via Wasafi.com
No comments