New Video: Linah ft Mr Kesho - Upweke
Kama ulimiss kumuona linah Sanga akiwa na ujauzito wake sasa amedodoka hapa hii ni Video yake akimshirikisha msanii na mwandishi wa muziki wa bongofleva anaitwa Mr Kesho ngoma inaitwa upweke ila utapenda Linah Alivyonenepa na tumbo lake icheki hapa na utoe maoni yako.
No comments